Wednesday, 8 April 2009

Karume Day


Jana Watanzania wote waliadhimisha kifo cha aliyekuwa
rais wa kwanza wa Zanzibar pia mwanamapinduzi visiwani
humo hayati Abeid Amani Karume aliyeuawa na wakoloni mnamo 1972.
Maadhimisho hayo yalifanyika katika ofisi za CCM huko Zanzibar
ambako ndipo alipozikwa.

No comments: