Monday, 6 April 2009

"Namzimika TID kinoma"-Angelie


Msanii wa kike pia aliyewahi
kuwa mlimbwende second run-up amekiri kumhusudu
TID sauti ya jela.Kijana TID ameonekana
akinyookewa sana na mambo yake
tangu atoke University of Segerea.

No comments: