Thursday, 23 April 2009

Pita Mtaani kwetu Uone


Huku mtaani kwetu sufuria za ukoko hazilowekwi
kwenye maji badala yake kuna idara maalum ya
kufanya usafi.Haya yanawapata watanzania hawa
tena watoto ilhali nchi yao imejaa madini,maziwa,
bahari,mito mikubwa,mbuga za wanyama na ardhi ya
kutosha kwa kilimo.Je,watafika kweli??

No comments: