
Ni kijana mdogo mwenye umri chini ya miaka 20 lakini ukimsikiliza mashairi yake kamwe hutoamini kwani ni kijana aliyejaariwa utajiri wa verse wengine huita mashairi yaliyosheheni ujumbe wa kutosha na burudani pia. Hadi sasa amesharekodi singo mbili katika Studio Mkakakwanza Production zilizopo Mabibo chini ya usimamizi mahiri kabisa wa producer anayejulikana kwa jina la "Mkaka".
Moja kati ya singo zake zinazofanya vizuri redioni ni pamoja na wimbo unaoujlikana kwa jina la "My Sweet" alofanya na msanii Ephriz palepale studio za mkakakwanza Mabybo.