Wednesday, 8 April 2009

Martha Karua Ajiuzuru


waziri wa katiba na sheria nchini Kenya jana alimwandikia
barua ya kujiuzuru nafasi ya uwaziri bosi wake Mwai Kibaki.
Amefikia hatua hiyo kwa kile anachosema ni kutokutambuliwa na huyo bosi wake.
Sakata hilo limetokea baada ya rais Kibaki kuteua majaji wawili bila kumfahamisha Waziri huyo kama sheria na taratibu za kimamlaka zinavyotaka iwe.
"sioni umuhimu wa kuendelea kushikiria ofisi wakati bosi wangu hatambui umuhimu wangu" alikaririwa akisema.

Monday, 6 April 2009

2009 Kili Music Awards Nominees Are

01.BEST FEMALE ARTIST OF THE YEAR

VUMI / LADY JAY DEE / MWASITI / KEISHA / AISHA RAMADHANI

02.BEST MALE ARTIST OF THE YEAR

MATONYA / MAKAMUA / MB DOG / HAMMER Q / Q JAY


03.BEST TAARAB ALBUM

V. I.P – Jahazi Modern Tarab / WHY – T. O. T / MWANAMKE HULKA - East Africa Melody
KITU MAPENZI - Dar Modern Taraab


04.BEST TAARAB SONG
V. I .P - Jahazi Modern Taraab / WHY – T. O. T / MWANAMKE HULKA - East African Melody
MWANAMKE MVUTO New Zanzibar Taraab / YA WENZENU MIDOMONI - Jahazi Modern Taraab

05.BEST SONG OF THE YEAR

TABASAMU – Mr Blu Ft Steve / ANITA - Matonya Ft Lady Jaydee
DAR MPAKA MORO - T. M. K Wanaume Family / V. I. P - Jahazi Modern Tarabu
NZELA - Banana Zorro & the B. Band


06.BEST GROUP SONG

SUMU YA MAPENZI - African Stars / HESHIMA KWA MWANMKE - FM Academia
SUPU UMEITIA NAZI - D. D. C Mlimani Park / SAFARI SIYO KIFO - Akudo Impact
MKONO SHAVUNI - Vibration Sound

07.BEST GROUP ALBUM
PEKECHA PEKECHA - Akudo Impact / NYUMBA YA URITHI - Double M. Sound
ULIMWENGU - J. K. T Band

08.BEST R&B SONG

NATAMANI - MB Dog / NEILA - Tundaman / ZAMU YANGU - Shaa [Sarah Kaisi] / NATAMANI - Wakali Kwanza / USINIACHE - Spark Ft Chidi Beenz

09.BEST TRADITIONAL SONG

DELA DELA - Che Mundugwao & Mbeya Arts / KATAA UNYANYASAJI WA KIJINSIA - Maringo / KWETU SEREMA UKEREWE - Maringo Group / KAZI YA DUKANI - Dogo Mfaume

10.BEST TRADITIONAL ALBUM

DELA DELA - Che Mundugwao & Mbega Arts

11.BEST HIP HOP SONG

BADO NIPO NIPO - Mwana FA / NIPE DEAL - Mangwair Ft Dark Master
NGOMA ITAMBAE - Chid Beenz / SITOMSAHAU - Kigwema Ft Marlaw
NAKUITA NJOO - Professor Jay ft Nyashinski

12.BEST REGGAE SONG
TUTAONANA WABAYA - Q-Chief / MAMA NEEMA - 20%
NIPE RIPOTI - Tunda man / DUDE LA KIMATAIFA - Chege
TAXI BUBU - Matonya

13.BEST RAP ARTIST
MANGWAIR / FID Q / CHIDI BEENZ / MWANA FA / WITNESS
14. BEST EAST AFRICAN SONG
SWEET LOVE - Wahu (Kenya) / Ti–Chi - Kenrazy (Kenya) / ZUWENA - Wezzre (Uganda) / SIRIMBA - Ngoni Ft Lady Jay Dee (Uganda) / SALARY - Nameless (Kenya)

15. BEST MUSIC COMPOSER
MZEE YUSUPH / KARAMA LEGESU / MB DOG / LADY JAY DEE / MATONYA

16. BEST MUSIC PRODUCER
AMBROSE AMKWABI / LAMAR / MARCO CHALI / HERMY B / MAN WALTER

17. BEST SONGWRITER
PROFESSOR JAY / MATONYA / MWANA FA / LADY JAY DEE

18.BEST ZOUK SONG
NAOMBA UMWAMBIE - Kalunde Band / AWENA - Cassim
NALIVUA PENDO - Mwasiti / KARIM - Ali Kiba / LONELY - Q Jay

19.BEST VIDEO DIRECTOR
VISUAL LAB / KALLAGHE PRODUCTION / MAUJANJA SUPPLIER / EMPTY SOULS
OUTCOME PRODUCTION

20.BEST COLLABORATION SONG
GOODBYE - Chege Ft Q Chief / ANITA - Matonya Ft Lady Jay Dee
NATAMANI – Q Jay, Makamua Ft Joslin / SITOMSAHAU - Kigwema Ft Marlaw
NAKUITA NJOO – Professor Jay Ft Nyashinski

Mcz Jokate na Ruben Ndege

Mwasiti-Wimbo Bora wa Zouk

Chidi naye hakuwa nyuma