Wednesday, 8 April 2009

Martha Karua Ajiuzuru


waziri wa katiba na sheria nchini Kenya jana alimwandikia
barua ya kujiuzuru nafasi ya uwaziri bosi wake Mwai Kibaki.
Amefikia hatua hiyo kwa kile anachosema ni kutokutambuliwa na huyo bosi wake.
Sakata hilo limetokea baada ya rais Kibaki kuteua majaji wawili bila kumfahamisha Waziri huyo kama sheria na taratibu za kimamlaka zinavyotaka iwe.
"sioni umuhimu wa kuendelea kushikiria ofisi wakati bosi wangu hatambui umuhimu wangu" alikaririwa akisema.

1 comment:

Anonymous said...

Asante dada,ni cku nyingi natafuta dem mwenye mcmamo ka wewe.