Thursday, 6 October 2011

KUTANA NA Mwanamuziki wa kizazi kipya "GOLD EYES"Ni kijana mdogo mwenye umri chini ya miaka 20 lakini ukimsikiliza mashairi yake kamwe hutoamini kwani ni kijana aliyejaariwa utajiri wa verse wengine huita mashairi yaliyosheheni ujumbe wa kutosha na burudani pia. Hadi sasa amesharekodi singo mbili katika Studio Mkakakwanza Production zilizopo Mabibo chini ya usimamizi mahiri kabisa wa producer anayejulikana kwa jina la "Mkaka".
Moja kati ya singo zake zinazofanya vizuri redioni ni pamoja na wimbo unaoujlikana kwa jina la "My Sweet" alofanya na msanii Ephriz palepale studio za mkakakwanza Mabybo.

3 comments:

Anonymous said...

huyu dogo namfahamu nimkali mbaya, yani usimpimieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Anonymous said...

Very good post. I am going through a few of these
issues as well..

Feel free to visit my site :: check product price

Anonymous said...

Iwas suggested this blolg by mmy cousin. I ɑm not surе ѡhether
this post is written by hіm as nobody еlse know such detailed
aЬout mу difficulty. Υοu aгe amazing! Thɑnks!

Feel free tto surf tߋ mү paǥe: Apex Vitality Forskolin