
Lil Wayne amekuja juu sana katika gemu la Hip Hop kiasi kwamba kila msanii huko Marekani anamshirikisha katika nyimbo zake.Grammy Music Awards imethibitisha kwamba bwana mdogo Weezy yuko siriaz na kazi.
Pata Burudani,Habari,pamoja na Matukio Mbalimbali
No comments:
Post a Comment