Ni Naibu Waziri wa Matibabu nchini Kenya Danson Mungatana. Amejiuzulu wadhfa wake huo, akiushutumu utawala wa rais Mwai Kibaki kwa kuyumbisha mwelekeo wa nchi hiyo.hapo juzi pia waziri wa Katiba na Sheria nchini humo aling'atuka.
1 comment:
Anonymous
said...
Safi sana wakenya endeleeni na demokrasia,kwetu Tz tumeshindwa.
1 comment:
Safi sana wakenya endeleeni na demokrasia,kwetu Tz tumeshindwa.
Post a Comment