Thursday, 9 April 2009

Waziri Mwingine Ajiuzuru Kenya


Ni Naibu Waziri wa Matibabu nchini Kenya Danson Mungatana.
Amejiuzulu wadhfa wake huo, akiushutumu utawala wa rais Mwai Kibaki
kwa kuyumbisha mwelekeo wa nchi hiyo.hapo juzi pia waziri wa Katiba
na Sheria nchini humo aling'atuka.

1 comment:

Anonymous said...

Safi sana wakenya endeleeni na demokrasia,kwetu Tz tumeshindwa.